4945

Haba na Haba Hujaza Kibaba | | | Kiswahili

Description: Kibena na rafiki zake wana safari ya kishule. Lakini hawana uwezo wa kulipia safari hiyo. Wanatakiwa kutumia hela ya shule wanayopewa kwa matumizi ya shule… na kulipia safari pia…lakini watawezaje? Klabu ya Kuweka Akiba itasaidia?

Topic: Elimu ya Fedha: Akiba

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

License: CC-BY-NC-ND

Please Log In or Sign Up to Download

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *