Heka Heka Za Panya | | | Kiswahili
Description: Panya wamekula mazao ya Mzee Kigo, lakini Kibena ana mpango kuwahamisha kwenye makazi mapya. Kwa kujifunza mamoja, makumi, mamia na maelfu, Kibena anahakikisha panya wote wafike kwenye makazi mapya.
Topic: Mamoja, Makumi, Mamia na Maelfu
Age Range: 7 – 14 years
Language: Kiswahili
Content Type: Video