4893
Miraba Mingapi | | | Kiswahili
Description: Bibi Kibena anaenda sokoni na kumuacha Kibena peke yake. Kwa bahati mbaya anamwaga rangi ya bibi na kuchafua ukuta. Rafiki zake wanakuja na kumshauri apake ukuta rangi. Ili kufanikisha zoezi hilo inawabidi watambue kuna miraba mingapi kwenye ukuta wa nyumba ya bibi.
Topic: Eneo
Age Range: 7 – 14 years
Language: Kiswahili
Content Type: Video