4921
Nahitaji Muujiza! | | | Kiswahili
Description: Koba anataka kufanikiwa lengo lake la kushinda shindalo la kuandika mswada wa filamu hali inayopelekea kuamua kwenda kwa Dr. Nondo ili amsaidie lengo lake. Kwenye harakati za kutafuta mbinu za kufika kwa Doctor Nondo anakutana na vikwazo mbalimbali njiani na kujikuta akijifunza jinsi ya kuhesabu kwa kuruka.
Topic: Kuruka Baadhi ya Namba
Age Range: 7 – 14 years
Language: Kiswahili
Content Type: Video