Akili na Marafiki Wameanzisha Bendi ya Muziki
Description: Akili anataka kuanzisha bendi, yeye pamoja na rafiki yake wanaanza kutafuta vifaa vya bendi na hapo ndiyo wanajifunza maneno kama kusikia, kuona na muziki kwa kiingereza.
Subject: Learn New Words in English
Age: 5 – 6 years