Akili na Nguo Za Wanyama
Description: Akili na rafiki zake Lala Land wanashangaa kuona nguo zinapotea wakati wanatafuta kwanini nguo zinapotea na zinaenda wapi wanajifunza maneno shati, viatu, suruari na gauni kwa kiingereza.
Subject: Learn New Words in English
Age: 5 – 6 years