Akili and Friends Grow a Flower | Medium Clip | English Vocabulary | English
Description: Akili anamka kwenye jangwa la Lala Land, na anaona sehemu haipendezi bila maua na mimea.Akili na rafiki zake wanatumia njia mbalimbali kukuza na kulisha maua na wanajifunza maneno kama maua, kujifunza, maji na kukua kwa kiingereza
Subject: Learn New Words
Age Range: 3 – 6 years
Language: English
Content Type: Video