4890
Tubebe Pamoja | | | Kiswahili
Description: Toto Tembo anadhamiria kufanya biashara ili aweze kupata fedha nyingi na kujitegemea. Rafiki zake wanaamua kumsaidia ili afikie malengo yake. Wanajikuta wanafanya hesabu za kubeba na kukopa ili kupata idadi halisi ya shanga.
Topic: Kujumlisha kwa Kubeba
Age Range: 7 – 14 years
Language: Kiswahili
Content Type: Video