...
Rafiki wa Macho | | | Kiswahili

Description: Macho yetu yanaona panapokuwa na mwanga. Baraka na wenzie wanajifunza umuhimu wa mwanga kwaajili ya uhai wa macho yetu.

Topic: Sayansi wa Mwanga

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Sauti Yangu | | | Kiswahili

Description: Kitabu hiki kinafundisha juu ya sayansi ya sauti. Kuanzia inavyotengenezwa hadi inavyosikika.

Topic: Sayansi ya Sauti

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Tunaweza Kuwa | | | Kiswahili

Description: Watoto wana ndoto mbalimbali na zikisimamiwa vizuri wanaweza kufika wanapopataka. Fuatilia ndoto ya mtoto wako na msaidie aweze kuitimiza.

Topic: Tunaweza Kuwa

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Tubebe Pamoja | | | Kiswahili

Description: Toto Tembo anadhamiria kufanya biashara ili aweze kupata fedha nyingi na kujitegemea. Rafiki zake wanaamua kumsaidia ili afikie malengo yake. Wanajikuta wanafanya hesabu za kubeba na kukopa ili kupata idadi halisi ya shanga.

Topic: Kujumlisha kwa Kubeba

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Jaribu Zabibu | | | Kiswahili

Description: Hadithi hii inafundisha kanuni za kufuata katika kukopa kwa kuchukua.

Topic: Kutoa kwa Kuchukua

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Olimpiki Yetu | | | Kiswahili

Description: Watoto wameandaa mashindano kwa ajili ya wanyama wa Kokotoa. Kwa kutumia michezo waliyokuwa wakicheza na maumbo yenye ukubwa tofauti, wanajifunza kutafuta mzingo wa maumbo hayo

Topic: Mzingo

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Miraba Mingapi | | | Kiswahili

Description: Bibi Kibena anaenda sokoni na kumuacha Kibena peke yake. Kwa bahati mbaya anamwaga rangi ya bibi na kuchafua ukuta. Rafiki zake wanakuja na kumshauri apake ukuta rangi. Ili kufanikisha zoezi hilo inawabidi watambue kuna miraba mingapi kwenye ukuta wa nyumba ya bibi.

Topic: Eneo

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Découvrir le Monde | | | French

Description: Les enfants jouent à cache-cache. La nuit tombe, difficile de poursuivre le jeu… A moins que Bundi le hibou, avec ses grands yeux, ne retrouve les enfants dans le noir!

Topic: La Science de la Lumière

Age Range: 7 – 14 years

Language: French

Content Type: Video

...
Mesurez pour Trouver le Trésor | | | French

Description: Mama Ndege raconte aux enfants l’histoire d’un trésor caché depuis longtemps. Les enfants se mettent en tête de le retrouver. Tout en apprenant à mesurer les distances et longueurs sur leur chemin, ils découvrent un trésor plus utile encore qu’ils ne l’avaient imaginé.

Topic: Longueur et Distance

Age Range: 7 – 14 years

Language: French

Content Type: Video

...
Sisi Watoto Part 2 | | | Kiswahili

Description: Tuwaskilize marafiki wetu wa Ubongo Kids

Topic: Kupenda hisabati na Sayansi

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

1 9 10 11 12 13 89