...
The Money Tree | | | English

Description: A rumour of a money tree is spreading through Kokotoa. Is it really true? To get to the bottom of it, Kiduchu, Kibena, Baraka and Koba must figure out WHO the information came from, and WHY they wrote it.

Topic: Information Literacy

Age Range: 7 – 14 years

Language: English

Content Type: Video

...
Tucheze Sawa Sawa | | | Kiswahili

Description: Mashindano ya Nazi neti, timu ya bluu na njano wanachuana. Katika mashindano hayo Kibena, Kiduchu, Koba, Amani na Baraka wanajifunza alama ya kubwa kuliko na ndogo kuliko.

Topic: Kutokuwa Sawa

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Twende Kuogelea! | | | Kiswahili

Description: Jumamosi ni siku ya kuogelea watoto wamefurahi sana lakini bwawani wameandika “Hakuna Kuogelea”. Wanajiuliza nini sababu? Je huu ndiyo mwisho wa Jumamosi kuwa siku ya kuogelea? Wakiwa katika jitihada za kusafisha bwawa wanajifunza kuhusu usafi wa maji, mazingira na maji taka.

Topic: Usafi wa Mazingira

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Tumsaidie Luwi | | | Kiswahili

Description: Baraka anamwokota Luwi, Luwi analilia kwenda nyumbani na Baraka anataka kumsaidia lakini anashindwa kuelewa Luwi ni mnyama gani kwa kuwa anabadilika kadri muda unavyoenda. Katika safari nzima Baraka anajifunza kuhusu makundi mbalimbali ya wanyama.

Topic: Kundi la Wanyama

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Ngedere Mwezini | | | Kiswahili

Description: Ngedere ametekwa na kupelekwa juu angani. Watoto wanafikiria jinsi ya kumpata na kumrudisha duniani. Wakiwa angani wanajifunza kuhusu mfumo wa jua na jinsi unavyofanya kazi.

Topic: Dunia, Mwezi na Jua

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Kuza Ubongo! | | | Kiswahili

Description: Njia aliyokuwa ameizoea Ngedere imezuiwa na ukuta, kuna ramani inayoelekeza njia mbadala lakini Ngedere hawezi kusoma ramani. Katika harakati za kuvunja ukuta Ngedere anazimia na anakutana na Ubongo wake na kujifunza kuhusu fikra endelevu na jinsi ya kutatua matatizo kwa kutumia akili.

Topic: Ubongo

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Fumbua Fumbo | | | Kiswahili

Description: Amani na wenzake wamepewa jukumu la kumwagilia bustani wakati Mzee Kigo hayupo. Lakini maji yanapungua kwenye tangi. Amani anataka kujua maji yanaenda wapi, anaanza kuwa mdadisi na kujiuliza maswali ya kwanini? Na hapo ndipo anapojifunza udadisi.

Topic: Hali za Maji

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Kusudi La Kibena | | | Kiswahili

Description: Kibena ana mpango wa kupata mia ya mia mia kwenye masomo yote lakini mwalimu anawapa jaribio la kushtukiza la Hisabati na anajikuta akipata 15 ya mia. Mwalimu anaamua kuwapa jaribio jingine la kuwasaidia kuongeza alama za ufaulu na jaribio hilo linamtaka kilamwanafuzi aandike kusudi lake la kusoma Hisabati.

Topic: Mafumbo kwa Maneno

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Mabalaa Ya Kata Pepo | | | Kiswahili

Description: wakina Koba wameletewa kompyuta mpya shuleni wanafunzi wanafurahi lakini hamna umeme! Koba anaamua kutengeneza kata upepo ambayo ni kitu kipya na kigumu kuwahi kukitengeneza. Katika mchakato huo Koba anajifunza umuhimu wa ustahimilivu katika kutimiza malengo.

Topic: Ifanye Mwenyewe

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Money Doesn’t Come for Free | | | English

Description: Kokotoa’s got talent! An exicting oppurtunity comes to participate in a talent competition. Kibena, Kiduchu and Amani have their dance routine all figured out…but they need costumes. And to get costumes, they need to pay the tailor. And to pay the tailor they need money…How will they earn the money and what do they learn through the process about the value of money?

Topic: Financial Literacy: Earning

Age Range: 7 – 14 years

Language: English

Content Type: Video

1 13 14 15 16 17 89