...
Decimals on the Radio | | | English

Description: Is 0.5 the same as one half? When Ngedere can’t figure out how to find his radio station he calls on Kibena and Kiduchu to help him understand decimals.

Topic: Intro to Decimals

Age Range: 7 – 14 years

Language: English

Content Type: Video

...
The Mosquito Army | | | English

Description: A mosquito army is threatening the village of Kokotoa. Kiduchu is determined to get to the bottom of the problem, and help the villagers protect themselves from Malaria.

Topic: Malaria

Age Range: 7 – 14 years

Language: English

Content Type: Video

...
Animal Graphs | | | English

Description: Mzee Kigo wants to give the forest animals his left-over fruit. He has made a graph so the children will know how many of each fruits there are, but unless the children can figure out how to read his graph the animals may have to go hungry!

Topic: Statistics and Graphs

Age Range: 7 – 14 years

Language: English

Content Type: Video

...
We Are Children | | | English

Description: We hear back from our Ubongo Kids audience!

Topic: The Joys of Math

Age Range: 7 – 14 years

Language: English

Content Type: Video

...
Heka Heka Za Panya | | | Kiswahili

Description: Panya wamekula mazao ya Mzee Kigo, lakini Kibena ana mpango kuwahamisha kwenye makazi mapya. Kwa kujifunza mamoja, makumi, mamia na maelfu, Kibena anahakikisha panya wote wafike kwenye makazi mapya.

Topic: Mamoja, Makumi, Mamia na Maelfu

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Mkali wa Dana Dana | | | Kiswahili

Description: Kiduchu anamthibitishia Koba kuwa hata wasichana wanaweza kucheza mpira wa miguu kwa kumshinda kwenye mchezo wa danadana

Topic: Namba Hasi na Chanya

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Umoja ni Nguvu | | | Kiswahili

Description: Kiduchu na rafiki zake wafanikiwa kumshinda Ngedere baada ya kuungana na kuruka kwa pamoja

Topic: Kuzidisha

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Bilionea wa Samaki | | | Kiswahili

Description: Koba ataka utajiri kwa kufuga samaki, hata hivyo samaki walalamika kwa tabia ya Koba kutowapatia sehemu sawa ya chakula.

Topic: Kugawanya

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Matunda na Kujifunza | | | Kiswahili

Description: Tunatumia sehemu rahisi na sehemu isiyo rahisi kila siku katika maisha yetu. Kiduchu na Kibena wanajifunza umuhimu wa sehemu rahisi, sehemu zisizo rahisi na sehemu zilizo sawa wakimsaidia Ngedere kuanzisha duka na kuuza matunda.

Topic: Sehemu Rahisi na Sehemu Isiyorahisi

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

...
Redio ya Desimali | | | Kiswahili

Description: Kibena na Kiduchu wamsaidia Ngedere kujifunza desimali kupitia redio yake iliyoko kwenye gari

Topic: Desimali

Age Range: 7 – 14 years

Language: Kiswahili

Content Type: Video

1 4 5 6 7 8 89