4884
| | | Kiswahili
Description: Koba anaumia mguu na kukosa goli muhimu linalowakosesha ushindi. Anatamani angeumwa kitu kingine kuliko mguu. Hata hivyo mwishoni anatambua kuwa kila kiungo katika mwili kina kazi yake na umuhimu wake.
Topic: Viungo vya Mwili
Age Range: 7 – 14 years
Language: Kiswahili
Content Type: Video