4849
| | | Kiswahili
Description: Tunatumia sehemu rahisi na sehemu isiyo rahisi kila siku katika maisha yetu. Kiduchu na Kibena wanajifunza umuhimu wa sehemu rahisi, sehemu zisizo rahisi na sehemu zilizo sawa wakimsaidia Ngedere kuanzisha duka na kuuza matunda.
Topic: Sehemu Rahisi na Sehemu Isiyorahisi
Age Range: 7 – 14 years
Language: Kiswahili
Content Type: Video