| | | Kiswahili
Description: Anko T ameona tangazo la shindano la kwenda bungeni wakati anachungulia kwenye banda la video. Anataka kuwaambia wakina Koba, Kiduchu, Baraka Amani na Kibena lakini sauti imekauka. Wakati Kibena na Koba wanajaribu kurudisha sauti ya Anko T ili waelewe wanachosema wanajiunza kuhusu nishati safi na chafu.
Topic: Nishati Safi na Chafu
Age Range: 7 – 14 years
Language: Kiswahili
Content Type: Video