4886
| | | Kiswahili
Description: Kibena na wenzie wanafanya mambo yao kwa kificho bila kumshirikisha Anko T. Anko T anasononeka sana kwa upweke unaomkabili. Hata hivyo anakuja fahamu walikuwa wanamuandalia sherehe ya siku ya kuzaliwa. Kupitia hadithi hii mtoto atajifunza juu ya uzito na ujazo.
Topic: Uzito na Ujazo
Age Range: 7 – 14 years
Language: Kiswahili
Content Type: Video