4955
| | | Kiswahili
Description: Watoto wanapewa zoezi la kufanya utafiti wa kazi moja kila mtu
na kufanya uwasilishaji darasani. Kupangiwa kufanya utafiti wa
kazi ya ukulima ni kitu ambacho Kibena hakukitarajia kabisa!
Kazi ambayo inaonakena ni chafu, na mara nyingi haieleweki i
nageuka kuwa kazi ambayo inafanya kila mtu aishi maisha yenye
afya bora.
Topic: Kilimo
Age Range: 7 – 14 years
Language: Kiswahili
Content Type: Video